SERIKALI corrupt (ya wala rushwa) inafanyia kazi wenye mali.Serikali corrupt haikusanyi kodi. Tunataka kiongozi ambaye atasema rushwa kwangu ni mwiko, na watoa rushwa watamjua hivyo, lakini hatutaki aishie hapo tu. Tunataka awe na uwezo wa kuwaambia jamaa zake na rafiki zake kwa kauli ambayo wataiheshimu na hawatarudia tena