Simba S.C.

Ni kweli wachezaji wamehujumu Simba?

Ibrahim Mkamba

KUFUATIA kuchapishwa kwenye safu hii kwa makala niliyoandika kuhusu ubora wa Yanga kwenye uwakilishi wa mashindano ya vilabu barani Afrika mwakani dhidi ubovu wa Prisons na Simba kwenye uwakilis

Simba tayari kuivaa Sofapaka

Mwandishi Wetu
BAADA ya kuwa kambini nje ya Dar es Salaam kwa zaidi ya mwezi, mabingwa wa Tanzania Bara, Simba walitarajiwa kurejea jijini humo jana Jumanne tayari kwa mechi yao ya Alhamisi dhidi ya waliowahi kuwa mabingwa wa Kenya, Sofapaka, Uwanja wa Taifa

Yanga kulipiza Simba kisasi cha 1977?

Mwandishi Wetu

KAMA kuna watu ambao wanaiona Jumapili inachelewa ni mashabiki wa klabu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam katika nia yao ya kuwakoga wenzao wa Simba.

Friends of Simba waijadili Simba

Mwandishi Wetu
KUNDI la Friends of Simba la klabu ya soka ya Wekundu wa Msimbazi, linatarajiwa kukutana leo Jumatano jioni kujadili mustakabali wa klabu kwa ujumla na kutoa msimamo wake mbele ya wanachama na wapenzi wa klabu hiyo

Simba itazame ubingwa, si Yanga

Ibrahim Mkamba

NILIVUTIWA sana na kichwa cha habari cha gazeti la Sunday News la Jumapili ya Septemba 6,1981 cha habari ya ushindi wa goli 1-0 la kichwa la Juma Mkambi wa Yanga dhidi ya Simba kufuatia kona ya

Simba yaenda Oman kwa mafungu

Mwandishi Wetu
TIMU ya soka ya Simba ya Dar es Salaam, inaondoka nchini leo saa kumi jioni kwenda Oman kwa mafungu kutokana na baadhi ya wachezaji wake kutumikia majukumu mengine wakati huu

Ya Simba, Ligi Kuu na uwanja

Chesi Mpilipili

KABLA ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya soka nchini, gazeti moja la kila siku lilionyesha picha ya gari kukuu lililokuwa likimwagia maji uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro ka

Simba Unguja vs Yanga Pemba

Hafidh Kido
MABINGWA wa Soka Tanzania Bara msimu huu, Yanga wameonekana kurudia matapishi yao baada ya kujitapa kwa kipindi kirefu kuwa hawatoweka kambi katika maandalizi ya mpambano na mpinzani wao mkuu, Simba, kwenye mechi ya kufunga msimu Mei 18, mwaka huu

Upofu wa Yanga na Simba neema kwa wafadhili njaa

Godfrey Dilunga

WIKI iliyopita niliahidi kuchambua namna klabu kubwa nchini zinavyotumika kujenga majina ya watu kwa ‘taji’ la mfadhili lakini kwa maslahi kiduchu, nitafanya hivyo leo.

Simba na Basena: Sheria inapogeuka punda kihongwe!

Chesi Mpilipili

WAINGEREZA wana msemo: the law is an ass, wanaoutumia hasa pale sheria moja inapoweza kutumiwa kuamua masuala mawili tofauti kabisa kwa kutegemea tu uwezo wa hakimu ama wakili wa kunyumbulisha sher

Pages

Subscribe to Simba S.C.