BAADA ya Kamati inayoongozwa na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuzungumza na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi na kuibuka malumbano, kejeli na matusi kwenye mkutano huo, imebainika kuwa sasa mpasuko
HUKU mambo yakiwa si shwari ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali, wiki hii Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, ametoboa siri kwamba tangu Rais Jakaya Kikw
MKURUGENZI wa Kampuni ya Richmond Development ya Tanzania, iliyowahi kupewa zabuni ya kuagiza mitambo ya kufua umeme wa dharura nchini, Naeem Adam Gire, jana alifikishwa mahakamani akikabiliwa n
BAADHI ya wabunge, wanasiasa na wataalamu wa sheria wanautazama uamuzi wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa Kampuni ya Richmond, Naeem Gire, kwa tahadhari kubwa wakiamini kuwa kuna malengo yali
SAKATA ya kampuni hewa ya kufua umeme wa dharura, Richmond Development LLC, ya Marekani, limevuka mipaka na kujadiliwa nchini Uganda katika mkutano wa wataalamu wa hali ya hewa, ambao wanasema
Katika sehemu kwanza ya makala yetu katika gazeti hili toleo namba 16 la Februari 27-5 Machi 2008, tulieleza jinsi mkataba mbovu wa miaka 20 wa kuuziana umeme kati ya Shirika la Umeme Tanzania (T
WIKI iliyopita nilihoji ikiwa Edward Lowassa anadai ni msafi dhidi ya tuhuma zote ambazo amekuwa anarundikiwa, ni nani basi atakuwa msafi ndani ya CCM?
KATIKA ukurasa wa kwanza wa gazeti hili tuna habari kuhusu mradi mkubwa wa Vitambulisho vya Taifa uliomo mbioni kuanza baada ya mazungumzo yake kuanza katika miaka ya katikati ya 1970.
NI ujinga kutegemea pesa kama chombo cha maendeleo wakati tunafahamu vyema kwamba nchi yetu ni masikini. Lakini ni ujinga zaidi kufikiria kwamba tutajikomboa kutoka kwenye umasikini wetu kwa kutegemea misaada ya kigeni badala ya juhudi zetu wenyewe
Nyerere, pesa na misaada
Maoni ya Wasomaji
Kama kuna demokrasia ya haki, haipaswi mtu yeyote awe juu ya sheria . let spoon be a spoon and folk be a folk period. Katiba ya ccm inasishia hapo tutakapopata mupya.