Pinda

Serikali vigogo wahamia Mtwara

Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu akiongea na wafanyabiashara wa Mtwara
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameongoza mkutano wa hadhara ambao umehutubiwa na mawaziri kadhaa

Spika, Waziri Mkuu wamuonya Kikwete

Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete
UJUMBE maalumu umewasilishwa kwa Rais Jakaya Kikwete kutoka kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Jairo awatikisa Kikwete, Pinda

Waandishi Wetu

BAADA ya Bunge kuunda Kamati Teule ya kuchunguza sakata la Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, hali sasa si shwari serikalini na Rais Jakaya Kikwete, anaelezwa kujiandaa kufa

Waziri Mkuu avuruga mpango wa Lowassa

Mwandishi Wetu

MAJIBU ya wiki iliyopita ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda bungeni, yanaweza kuwa yamevuruga hoja ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond, Edward Lowassa, inayotaf

Bomu la CHADEMA kwa Pinda hadharani

Mwandishi Wetu

SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

Wakubwa wapagawa

Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda
Imethibitisha kwamba sasa, pengine kuliko wakati mwingine wowote, mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yatakuja

Pinda, Makinda ‘wavuta’ za Jairo

Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
SEHEMU ya mamilioni ya fedha zilizochanganishwa na David Jairo, zimelipwa pia kwa wabunge kupitia semina, akiwamo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Akaunti ya Waziri Mkuu bado imehifadhi mil. 25/-?

Godfrey Dilunga
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda
MIAKA mitatu sasa imetimia tangu Waziri Mkuu, Mtoto wa mkulima na kwa sasa Mfugaji wa nyuki, kutangaza mali anazomiliki

Mimba shuleni: Kauli ya Pinda ina mushkeli

Chesi Mpilipili

HADI pale itakapofafanuliwa vyema, natofautiana na kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Pinda kuhusu kuwakamata na kuwatia ndani wazazi ambao watoto wao watapata mimba shuleni, na hivyo kukatish

Waziri mkuu asiye waziri mkuu, serikali iliyobinafsishwa: hatuendi ko kote

Jenerali Ulimwengu

NCHI inapitia kipindi tete, kipindi ambacho kinashuhudia maswali mengi yakiruka kutoka kila upande huku kukiwa hakuna majibu yanayoeleweka.

Pages

Subscribe to Pinda