Mwalimu Nyerere

Prof. Shivji kuvaana na ‘mbaya’ wa Raila

Mwandishi Wetu
Jaji Willy Mutunga na Profesa Issa Shivji
Ni katika Tamasha la Tano la Mwalimu Nyerere litakalofanya uchambuzi wa kupambanisha kati ya Azimio la Arusha na dira ya taifa ya 2025

Wasomi wahoji kwa nini Mwl Nyerere ahujumiwe?

Waandishi Wetu
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
UTOAJI wa Tuzo za maarufu na muhimu za Nobeli kwa watu mashuhuri na wenye mafanikio ya kipekee katika maendeleo na amani ya dunia umeanza kutiliwa shaka

Nani kama Mwalimu Nyerere?

Mwandishi Wetu
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
SEHEMU kubwa ya viongozi wakuu wa Serikali wamekuwa wakitenda kinyume cha hotuba ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere

Nini kilichotokea kati ya Kolimba na Nyerere? II

Godfrey Dilunga

WIKI iliyopita katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala hizi, nilieleza katika hali ya kudadisi zaidi ni kwa nini viongozi wengi hawakuwa tayari kumkosoa Mwalimu Julius Nyerere hadharani na

Ni msimu mwingine wa tamasha la Kigoda cha Nyerere

Privatus Karugendo

MWEZI huu, Aprili 12, Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kitafungua rasmi tamasha la tatu la kitaaluma ambalo litafungwa Aprili 15.

Kutana na Mbuta Mirando, private secretary wa kwanza wa Rais Nyerere

Mwandishi Wetu
MBUTA Mirando au Sifasi Lucas Mirando (78), ni Katibu Mwenezi wa kwanza wa Tanganyika African National Union (TANU) chama kilichoongoza harakati kudai Uhuru wa Tanganyika

Hata tumbili hung'amuka

Maggid Mjengwa

KESHOKUTWA  Watanzania  tutaadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya  Kifo cha Mwalimu Nyerere. Ni  miaka kumi na miwili  iliyopita tangu Mwalimu atutoke.

Kutoka Nyerere hadi Pinda, yupi mahiri? II

Joseph Mihangwa

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya tuliona utendaji kazi wa mawaziri wakuu wa Tanganyika na baadaye Tanzania huru; kuanzia Mwalimu Julius K.

Nyerere analia, Kikwete angalia, uamuzi ni wako

Mbaraka Islam
KWA kawaida ndoto hutafsiriwa kwa maana nyingi kulingana na hisia, imani na msimamo wa mtu anayewasilisha ama kupokea ujumbe husika, lakini kwa hili naandika nikiamini kwamba kuna ujumbe mzito ndani yake

Mwalimu ilikuwa ni bao tu?

Francis Chirwa

TAIFA la Tanzania jana Jumanne liliadhimisha miaka tisa ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyefariki Oktoba 14 kwenye Hospitali ya St Thomas’s, London Uingereza.

Pages

Subscribe to Mwalimu Nyerere