Lowassa

Uasi sasa wazidi kuizingira CCM

Waandishi Wetu
Wilson Mukama, Katibu Mkuu wa CCM
MKUTANO wa viongozi wa juu wa CCM unaoendelea Dar es Salaam umekumbwa na jaribio la kufanya uasi dhidi ya baadhi ya viongozi wa kitaifa wa chama hicho

Mbowe amuweka Lowassa njia panda

Mwandishi Wetu
James ole Millya akitangaza kuhamia CHADEMA

KUHAMIA CHADEMA kwa James ole Millya kumeibua taarifa ya kuwa yamekuwapo mazungunzo ambayo yanaweza kuwa yemewakutanisha Mbowe na Lowassa

Mbunge Wenje wa CHADEMA matatani

Waandishi Wetu
MBUNGE wa Nyamagana (CHADEMA), Ezekia Wenje
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekia Wenje, ameingia matatani akituhumiwa kumtishia kwa bastola mwanachama mwenzake

Sitta na Lowassa wagongana tena

Mwandishi Wetu
KIWEWE cha kuanzishwa kwa Chama Cha Jamii (CCJ) kinachohusishwa na baadhi ya vigogo maarufu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinashika kasi huku kamati ya wazee iliyoongozwa na rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, ikishindwa kumaliza makundi kama ilivyokusudiwa

Lowassa, Karamagi matatani zaidi

Waandishi Wetu

SAKATA ya kampuni hewa ya kufufua umeme ya Richmond bado inachemka na sasa kuna uwezekano mkubwa wa aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na madini, Nazir Karamagi kub

Lowassa atinga Kanisa Katoliki

Mwandishi Wetu
Edward Lowassa, Mhashamu Ruwa'Ichi

Edward Lowassa ametetewa na kiongozi wa Kanisa Katoliki kuwa ni mtu mwema na mwadilifu

Slaa afufua upya ufisadi

Mwandishi Wetu

WAKATI wafadhili wakikabidhiwa ripoti inayoonyesha bado Tanzania kuna ufisadi, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.

Lowassa apambana

Waandishi Wetu
Edward Lowassa
UPEPO wa hali ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kuvuma, na sasa Edward Lowassa na Andrew Chenge, wamebanwa na wanapambana

Nchi sasa inayumba

Mwandishi Wetu

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Serikali zake vinasukwasukwa kiasi kwamba kuna hofu kwamba kama hali haitabadilika nchi itafika pabaya, imeelezwa.

Lowassa amtisha Kikwete kujiokoa

Waandishi Wetu
Edward Lowassa na Frederick Sumaye
WAKATI Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimgeuzia kibao Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Rais Jakaya Kikwete

Pages

Subscribe to Lowassa