Karume

Karume amkwaza Kikwete

John Bwire

WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM/NEC) kutoka Zanzibar, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karum

Zanzibar ingekuwa nyingine wangepatanishwa Abeid Karume na Ali Muhsin

Ahmed Rajab

HALI za maisha Zanzibar ni ngumu.  Watu wanaishi lakini wengi wao wanaishi maisha ya taabu.  Imekuwa kana kwamba Wazanzibari wa leo ni mahuluki taabu. 

CUF: SMZ ya Karume ina Ukaburu

Mwandishi Wetu

KUNA madai ya kitakwimu, ambayo yanaonyesha kuwa kuna ubaguzi wa dhahiri dhidi ya Wazanzibari wenye asili ya Pemba, unaodaiwa kufanywa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ).

Je, Sheikh Abeid Karume naye akitaka kurejesha usultani?

Ahmed Rajab
MOJA ya mambo yenye kushangaza katika mjadala unaoendelea Zanzibar kuhusu Muungano wa Tanzania ni ile dhana ya kwamba upinzani dhidi ya muundo wa sasa wa Muungano ulianza jana au kwamba umekuwa ukichochewa na mtu fulani au kikundi fulani chenye ‘ajenda ya siri.’

Ubabe wa Karume ulimuaibisha Nyerere na taifa

Ahmed Rajab

SIKU moja nilipokuwa nikiongea na rais mmoja wa Zanzibar sebuleni Ikulu, Unguja, alinigeukia ghafla na kuniuliza: ‘Unafikiri Ukarume utarudi hapa?’

Karume: Kura ya maoni imeanza lini?

Mwandishi Wetu

KATIKA moja ya mafukuto ya kisiasa yanayoendelea nchini la Muafaka kati ya CUF na CCM ambalo limechichewa zaidi na hatua ya CCM katika kikao chake cha Butiama kuja na hoja ya kura ya maoni.

Jinsi Nyerere alivyomtia hofu Karume

Ahmed Rajab

KUFIKIA mwanzoni mwa mwezi wa Aprili mwaka 1964, kama miezi mitatu baada ya Mapinduzi ya Zanzibar, mambo Visiwani humo yalikuwa shwari.

Utata kifo cha Karume: Chuki binafsi au mapinduzi? II

Joseph Mihangwa

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya toleo lililopita, tuliona jinsi Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Abeid Amani Karume, alivyo

Siku Field Marshal John Okello ‘alipotimuliwa’ Zanzibar

Ahmed Rajab

YAFUATAYO ni masimulizi mafupi ya kipindi kifupi cha Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari, 1964 yaliyoipindua serikali ya ubia ya chama cha Zanzibar Nationalist (maarufu Hizbu) na kile cha Zanzibar a

‘Nyerere hakuwa askofu wala Karume hakuwa mufti…’

Ahmed Rajab

WACHINA wanashikilia kuwa ni usemi wao wa kale lakini nadhani ni Heraclitus (Herakleitos ), mwanafalsafa wa Kiyunani wa karne ya 500 kabla ya kuzaliwa Yesu, aliyekuwa wa mwanzo kusema: ‘Mt

Pages

Subscribe to Karume