Igunga
KAMPENI za uchaguzi wa ubunge Jimbo la Igunga, zikiwa zinaelekea ukingoni vita sasa imepamba moto kati ya vyama vinavyoshindana kwa karibu vya CCM, CUF na CHADEMA, kila kimoja kikifanya ukachero ku
Imejitokeza hali ya kugawa kura za Upinzani katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Wananchi (CUF), huku hali ya mambo ikiwa si shwari nd
TUNASHUHUDIA vitimbi na viroja katika kampeni za uchaguzi mdogo jimboni Igunga. Orodha ni ndefu lakini inafurahisha.
UCHAGUZI mdogo wa ubunge Jimbo la Igunga uliokipa ushindi Chama cha Mapinduzi (CCM) umeibua masuala mazito ya mjadala, kuanzia kupungua kwa wapiga kura, hatima ya waliofanya hujuma ndani ya mikak
KUFUMANIWA ni kubaya. Jitu hata liwe ni la miraba minne, linapofumaniwa likiwa linazini na mke wa mtu, nguvu humwishia; mwili hulowa jasho na lisijue la kufanya.
HATIMAYE uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga umefanyika. Kama zilivyo chaguzi mbalimbali nchini tumeshuhudia kila aina ya vituko.
INAWEZEKANA ujumbe huu ukaonekana umechelewa. Kwamba ulihitajika utolewe mapema kabisa mara tu kampeni za kuwania ubunge wa jimbo la Igunga zilipoanza. Ni sawa.
UCHAGUZI mdogo wa Igunga umemalizika.
TUKIO la kumwagiwa kemikali inayoaminika kuwa ni tindikali kijana, Mussa Tesha (24), anayetajwa kuwa ni mfuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), limeendelea kuibua mjadala jimboni Igunga, wengi wakil
KWA takriban miaka mitano, kati ya Oktoba 26, mwaka 1951 hadi Aprili 7, mwaka 1955, Uingereza ilikuwa na Waziri Mkuu aliyeitwa Sir Winston Churchill.
Pages
Wasome zaidi Waandishi wa Raia Mwema