Gamba

Uvuaji gamba sasa wahamia serikalini

Mwandishi Wetu

MWENDELEZO wa kuwavua madaraka baadhi ya viongozi kwa vigezo vya tuhuma zinazotokana na ukosefu wa uadilifu unaingia serikali na tayari Rais Jakaya Kikwete, amebainisha kuwa hataki tena viongozi

Dk. Bana: Wanasiasa wanavuruga mwenendo wa kitaaluma kwa wanafunzi vyuoni

John Daniel

JANUARI 4, mwaka huu, Mwandishi Wetu, JOHN DANIEL, alifanya mahojiano na Mkuu wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dk.

Kikwete na porojo za CCM kujivua gamba

Mwandishi Maalum

Itakumbukwa kwamba, Februari 5, mwaka huu, kwenye sherehe za miaka 34 ya CCM mjini Dodoma, Mwenyekiti wake ambaye pia ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alieleza men

JK: CCM kujivua gamba pekee hakutoshi

Mkweli Ukweli

MIAKA mitatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa kwanza mara baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1995, nikiwa na fikra nzito juu ya hali itakayokikabili Chama cha Mapinduz

Lowassa, Rostam, Chenge wabanwa

Waandishi Wetu

VIGOGO wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotakiwa wajiuzulu kwa tuhuma za ufisadi wamekutana na uongozi wa juu wa chama chao, na taarifa zinasema bado mvutano haujaisha kati ya pande mbili hizo.

Tisini Zimeisha, Uamuzi bado Mgumu

Msomaji Raia

SIKU 90 tisini zilizolengwa na uongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa zingetumika kufanya maamuzi magumu ya kujivua gamba au kulazimishana kujivua gamba, zimekwisha.

TANU makini ilijivua gamba mara mbili, CCM haiwezi

Joseph Mihangwa

TULIJUA tangu mwanzo kwamba uamuzi wa vikao vya juu vya Chama cha Mapinduzi [CCM] juu ya chama hicho kutaka kujivua gamba [la maovu ya kijamii, kisiasa na kiuchumi], zilikuwa mbio za sakafuni. 

Kubaki CCM ndiyo gamba, kuondoka ni kulivua

Msomaji Raia

UAMUZI wa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, James ole Millya, kuondoka CCM na kujiunga na CHADEMA ndilo gumzo la wiki hii.

Kikwete na porojo za CCM kujivua gamba II

Mwandishi Maalum

NI vigumu kuamini kwamba rais wa nchi anaweza kuhusika na mchezo mchafu kama huu wa kuwabagua wananchi wake kwa misingi ya dini zao, lakini matukio ya hivi karibuni yanathibitisha hilo.

CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

Waandishi Wetu

CHAMA cha Mapinduzi kinakabiliwa na shinikizo kubwa la mabadiliko ya uongozi, taarifa zikibainisha kuwa msukumo huo unatoka miongoni mwa wana-CCM na hata nje na hasa upepo mbaya wa kisiasa unaov

Pages

Subscribe to Gamba