WAKATI kukiwa na mkakati wa kumnasua Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge katika kashfa ya ununuzi wa rada ya kijeshi, mwanasiasa huyo sasa anachunguzwa kuhusika katika kashfa nyingi
CHAMA cha Mapinduzi (CCM)
jana kilimchagua tena Yusuf
Makamba kuwa Katibu Mkuu
lakini kikabadilisha Naibu Katibu
Mkuu (Bara), Mweka Hazina na Katibu
wa Uenezi katika mabadiliko
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), wiki iliyopita, kilipoza tuhuma zote kubwa za ufisadi zilizowagusa wanachama wake katika hatua inayotafsiriwa kuwa ni kujitoa katika vita dhidi ya uoza huo, Raia Mwema
KUTUHUMIWA kwa ufisadi na hatimaye kujiuzulu kwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, kumefungua njia ya umma kuhoji uadilifu wa viongozi wa siasa akiwamo Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
WAKATI Mwanasheria Mkuu wa zamani, Andrew Chenge, akipambana na kufanya kampeni kujinasua kwenye kashfa za ufisadi, taarifa rasmi sasa zinasema anaweza kushitakiwa wakati wowote.
UNAWEZA kusema kwamba huu ni mwisho wa zama kwa Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge ambao, juzi Jumatatu, chama chao kiliwatosa kwa kuwapa siku 90 kujiondoa katika nafasi walizonazo kwa
MTU mwerevu wakati mwingine hulazimika kunywa na kulewa pombe pamoja na watu wapumbavu wanaomzunguka ili kutumia wasaa fulani wa muda wake na watu hao
Hemighway na wapumbavu
Maoni ya Wasomaji
Hii serikali kweli haina huruma na haidhamini wananchi wake. inaelekea GPSA imetekwa na mafisadi papa ambao wanataka kuwanyima fursa wafanya biashara wenye mitaji midogo kujiendeleza.