Bunge

Nusu saa ya Lissu balaa kwa Spika

Mwandishi Wetu
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu  Lissu
HALI ya mambo si swari kuelekea mkutano ujao wa Bunge na hasa kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda

Wabunge mtegoni

John Daniel
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dk. Edward Hoseah
TAKUKURU imetoa ripoti ya uchunguzi kuhusu utata na uhalali wa malipo ya viwango vipya vya posho kwa wabunge

Spika awatisha wabunge

Mwandishi Wetu
Spika Anne Makinda
SUALA la wabunge kutumia lugha zisizo za kistaarabu bungeni, ikiwa ni pamoja na matusi, limechukua sura mpya

Bunge lajichafua upya kwa posho

Mwandishi Wetu
Spika Makinda na Rais Kikwete
HALI ya hewa kati ya Bunge kwa upande mmoja, wananchi na kada nyingine za kijamii, imechafuka upya

Spika Makinda matatani

Mwandishi Wetu
Spika Anne Makinda
UZITO wa kauli za Spika wa Bunge, Anne Makinda, katika utawala wa Bunge na hata mbele ya jamii unaweza kuwa umeanza "kupwaya"

Mbunge asema ipo siku watavunja viti

Mwandishi Wetu
Naibu Spika Job Ndugai akizozana na Tundu Lissu nje ya ukumbi wa Bunge
“Tumekwishakata rufaa nyingi hata dhidi ya Spika mwenyewe hakuna hatua zinazochukuliwa. Hoja zetu zinatupwa bungeni...kuna upendeleo wa wazi..."

Ni Bajeti ya shusha pumzi

Waandishi Wetu

NAULI na gharama nyingine za bidhaa zinaweza kushushwa baada ya Serikali jana kutangaza Bajeti yake, mjini hapa, inayolenga kupunguza bei ya mafuta na kusudio la kufuta utozaji ushuru mbalimbali

Bunge launda kamati kuchunguza UDA

Mwandishi Wetu

BUNGE limeunda kamati ndogo kuchunguza madai yanayotolewa kuhusiana na ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), baada ya kuibuka kwa hisia kali miongoni wabunge wenyewe, vyombo v

Mwangwi wa Slaa wagusa bajeti

Waandishi Wetu

WAZIRI Kivuli wa Fedha na Uchumi, Zitto Kabwe, amewasilisha Bajeti ya Kambi ya Upinzani Bungeni akibainisha kuongeza mapato hadi Sh.

Bunge la Bajeti ni mwezi Aprili

Mwandishi Wetu
Dk. Wilbroad Slaa
Dk. Slaa afurahia, ataka mshahara na safari za Rais zianikwe bungeni

Pages

Subscribe to Bunge