Arumeru

Mbunge Wenje wa CHADEMA matatani

Waandishi Wetu
MBUNGE wa Nyamagana (CHADEMA), Ezekia Wenje
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekia Wenje, ameingia matatani akituhumiwa kumtishia kwa bastola mwanachama mwenzake

Ni vita ya Dk. Slaa, mtandao wa fedha

Waandishi Wetu
Wagombea wanaoshindana kwa karibu Arumeru mashariki, Joshua Nassari wa CHADEMA na Siyoi Sumari wa CCM, kila mmoja ushindi wake unategemea vigezo tofauti

Kwa nini CHADEMA wameiliza CCM?

Mwandishi Wetu
Joshua Nassari
USHINDI wa CHADEMA katika kinyang'anyiro cha ubunge Arumeru Mashariki wa Jumapili iliyopita kwa kiasi kikubwa msingi wake ni makosa ya kimkakati ya CCM

Meseji za komredi Lowassa zanaswa

Mwandishi Wetu
Siyoi Sumari
upepo umegeuka kwa mgombea wa CCM Arumeru Mashariki na sasa, anaweza kuenguliwa katika kinyang'anyiro hicho kwa njia mbili

Arumeru bado kwafukuta

Paul Sarwatt
Maeneo ya shamba la Dolly Estate yaliyonunuliwa na wazungu
USALAMA wa maisha na mali za wamiliki na wawekezaji wenye mashamba wilayani Arumeru ni tete kutokana na vurugu na uvamizi unaofanywa na wananchi

CHADEMA yatikisa vigogo wa CCM

Waandishi Wetu
Siyoi Sumari
HALI ya wasiwasi imezidi kuenea ndani ya CCM kutokana na pingamizi jipya dhidi ya mgombea wao

Kifo cha Nyerere si mzaha wa kisiasa

John Bwire
KAMPENI za uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki, kwa ajili ya kumpata mbunge mpya wa jimbo hilo zinaendelea lakini hata hivyo, tayari baadhi ya kauli za viongozi zinasikitisha na si za kushabikiwa

Hakuna mapinduzi bila sadaka

Baptiste Mapunda

TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), ni chombo muhimu katika harakati za kuhakikisha taifa linakuwa na uchaguzi huru, wa amani na ulio wa haki.

Kivumbi kumrithi Sumari Aprili Mosi

Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Mkoa wa Arusha kuwa ni Aprili Mosi mwaka huu

Mkapa, Wassira washitakiwe kwa kauli zao tata Arumeru Mashariki

Evarist Chahali

HUKO nyuma niliwahi kuandika makala ambayo ilijaribu kuangalia upande wa pili utawala wa Baba wa Taifa Mwalimu, Julius Nyerere.

Pages

Subscribe to Arumeru