NCHI hii imewahi kuwang’oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wa kuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. Hatuwezi kujenga utaratibu wowote wa kuzuia kabisa makosa makubwa yasifanyike. Lakini tunatazamia kuwa yakifanyika, wanaohusika watawajibika
Walipata Kunena
-
Nyerere na kuwang’oa vigogo
Maoni ya Wasomaji
-
waandishi nao wanapiga kampeni badala ya kuleta habari sahihi5 hours 27 minYametolewa maoni mengine 1