Sheria ya Bunge na Mahakama Kuu katika kesi ya Mgonja (Chediel ya mwaka 1980), vinampa haki mpiga kura kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo. Sijaona hoja nzito ya Mahakama ya kufuta haki hiyo ya mpiga kura.
Prof. Shivji na wapiga kura
Maoni ya Wasomaji
Kama kuna demokrasia ya haki, haipaswi mtu yeyote awe juu ya sheria . let spoon be a spoon and folk be a folk period. Katiba ya ccm inasishia hapo tutakapopata mupya.