HAKUNA yeyote duniani anayeweza kumfanya mtu mwingine akaacha kufikiri isipokuwa mtu mwenyewe husika, na kwa hakika kishawishi cha kuacha kufikiri ni kikubwa kwa sababu kufikiri ni kazi ngumu yenye kuzalisha changamoto nyingi ambazo ni watu jasiri tu ndio wako tayari kupambana nazo
Walipata Kunena
-
Nyerere na fikra
Maoni ya Wasomaji
-
Ndugu mwandishi wa habari hii, nakuomba uje ujibu hizi hoja zilizowekwa hapa juu ya habari yako.13 hours 40 minYametolewa maoni mengine 7
