NI jambo la kushangaza kidogo kwamba viongozi wetu wanaona kuwa ni kosa kuwakumbusha kuwa vyeo walivyo navyo ni dhamana. Wanadhani kuwa uwaziri ni usultani; ukishakuwa sultani utakufa ukiwa sultani. Nadhani wanaofikiria hivyo wanakosea sana
Walipata Kunena
-
Nyerere na wanaoringia uwaziri
Maoni ya Wasomaji
-
Kama kuna demokrasia ya haki, haipaswi mtu yeyote awe juu ya sheria . let spoon be a spoon and folk be a folk period. Katiba ya ccm inasishia hapo tutakapopata mupya.17 hours 8 minYametolewa maoni mengine 1
