[619]
Toleo 291
Mayage S. Mayage
KUSHINDWA kwa Serikali kutimiza wajibu wake ni miongoni mwa sababu zinazofanya walimu mkoani Kigoma si tu kuwa na wakati mgumu, bali kushuka kwa ari yao ya kufundisha kulikopelekea matokeo mabaya ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne mwaka jana
[2,745]
Toleo 290
Evarist Chahali
WAKATI Tanzania imetimiza zaidi ya miaka 20 tangu yatokee mageuzi ya kisiasa yaliyosababisha kuruhusiwa kwa siasa za vyama vingi, kuna haja ya k
[2,158]
Toleo 290
Godfrey Dilunga
BAADHI ya raia wa Ethiopia wamekuwa wakiishi kwa kuzingatia msemo mashuhuri ambao kwa namna fulani umebeba mantiki ya kifalsafa ndani yake
[1,321]
Toleo 290
Ahmed Rajab
Mkuu uliopita nchini Kenya umenifungua macho kwa mengi. Kadhalika ulikuwa na mengi ambayo wanasiasa wa Tanzania na Watanzania kwa jumla wanabidi wayazingatie hasa pale taifa hili linapousogelea Uchaguzi Mkuu ujao 2015
[1,255]
Toleo 290
Lula wa Ndali Mwananzela
KATI ya maswali ambayo nimekuwa nikijuliza kwa muda wa kama miaka mine sasa ni kuwa ni lini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ataamua kuachia ngazi kuonesha kuchoshwa na kupuuzwa, kutosikilizwa na kufanywa yeye sanamu ya kuchora
[993]
Toleo 290
Hidaya
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Switiii Frank,
[914]
Toleo 290
Jenerali Ulimwengu
KATIKA kutafakari tatizo letu la kufikiri na kupanga kwa mitazamo ya muda mfupi, ninalazimika kutafakari, pamoja na mambo mengi mengine, mashinikizo tunayoyapata kutokana na umuhimu mkubwa tunaotoa kwa chaguzi zetu za aina na ngazi mbalimbali
[904]
Toleo 290
Msomaji Raia
MJADALA juu ya tishio la kutoweka kwa amani nchini umeshika kasi. Wanasiasa wanawalaumu viongozi wa dini; viongozi wa dini wanawalaumu wanasiasa na serikali
[726]
Toleo 290
Maggid Mjengwa
WATANZANIA tulifanya kosa kubwa. Ni pale tuliporuhusu mfumo wa vyama vingi bila kufanyia marekebisho makubwa Katiba yetu.
[663]
Toleo 290
Hafidh Kido
Tamasha la Tano la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Julius Nyerere limepita. Mwandishi Wetu, Hafidh Kido, aliyehudhuria tamasha hilo anasimulia kilichojiri, kama ifuatavyo.
[616]
Toleo 290
Mwalimu Dickson Mseti
NI mara chache kwa walio wengi kuchukua muda wao na kuyatazama mambo kwa kina na kuyachuja kwa kina pamoja na kuyapanga kulingana na uzito wake
[575]
Toleo 290
Privatus Karugendo
MBALI na kauli mbiu ya Tamasha la Tano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere; Maendeleo ni Mapambano ya Ukombozi, kulikuwa na mengi ya kujifunza kwenye tamasha hilo lililofungwa rasmi Aprili 12, 2013, kwa mbwembwe za ushairi
[470]
Toleo 290
Joseph Mihangwa
MIAKA kumi iliyopita, Taasisi ya Maendeleo ya Kimataifa (Society for International Development – SID) tawi la Tanzania, ilizindua kijitabu chenye kurasa 42 chenye kuelezea mustakabali wa nchi yetu kisiasa, kiuchumi na kijamii
[3,143]
Toleo 289
Mwandishi Wetu
KWAKO Komredi Profesa Issa Shivji, Shikamoo! Ni matumaini yangu u mzima wa siha njema na unaendelea vyema na harakati za kutuamsha wanyonge tuliolala usingizi fofofo wakati rasilimali na utajiri wetu ukipokwa na mabeberu mamboleo kwa kushirikiana na ‘’makuwadi wa soko huria’’ kama alivyowaita swahiba wako mpendwa marehemu Profesa Chachage
[2,107]
Toleo 289
Lula wa Ndali Mwananzela
KWAMBA Rais Jakaya Kikwete alifanya kile ambacho hakikudhaniwa kuwa anaweza kufanya inastahili kukosolewa kwa kila namna.