featured-image

Ujasiri huzaa cheche za Mapinduzi

MIONGONI mwa maadui wakubwa wa mapinduzi ni uoga. “Uoga ni hatari kuliko risasi,” alipata kutamka Mwalimu Azaveli Lwaitama, akiwahutubia waandishi wa habari waliokuwa wameandamana kupinga mauaji ya kinyama dhidi ya mwandishi Daudi Mwangosi. Mwl. Lwaitama aliwataka waandishi wa habari kutoogopa kutumia kalamu zao kuibua uozo

featured-image

Wapinzani: Haturudi nyuma

Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa vyama vya upinzani waliokutana jijini Dar es Salaam mapema leo, wamesema hawatarudi nyuma katika jitihada zao za kuhakikisha utawala unaoenzi demokrasia na misingi ya utawala bora unaenziwa hapa nchini. Akitoa tamko la vyama hivyo mbele ya waandishi wa habari jijini

featured-image

Salum Mwalimu mbaroni

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Salum Mwalimu, amekamatwa na Polisi katika wilaya ya Meatu mkoani Shinyanga kwa sababu ambazo hazijajulikana. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA. Habari zaidi baadaye

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

Viongozi wastaafu, dini wajitosa kutatua mgogoro wa kisiasa nchini

VIONGOZI wastaafu wa kisiasa na kidini wamejitosa kupatanisha pande mbili hasimu za kisiasa kwenye mgogoro wa Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA) wakati wowote wiki hii, Raia Mwema limeambiwa. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kufanyika kwa maandamano ya nchi nzima kupinga inachokiita udikteta

Sehemu ya Ziwa Victoria, Tanzania

Kasi ya sato na sangara kutoweka yazidi Ziwa Victoria

MWANZA – KUNA hatari ya sato na sangara kutoweka kabisa katika Ziwa Victoria ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa haraka kukomesha vitendo vya uvuvi haramu na uchafuzi wa maji vinavyozidi kuongezeka ziwani. Isitoshe, inahofiwa kuwa kutoweka kwa samaki hao kutaathiri mianya ya uchumi, ajira na kipato kwa

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

Mbowe atakula sukari yenye mchanga?

KABLA sijaanza mada niliyokusudia kuiandika leo nitasema, japo kidogo, kuhusu Dk. John Magufuli, kutengua uteuzi wa aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda na kumteua Mrisho Gambo badala yake. Magufuli hakueleza sababu ya kumwondoa Ntibenda. Ukimya huo ulisababisha watu kubashiri sababu. Baadhi walisema Ntibenda